Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

toa pendekezo ndugu yangu unachotaka tukupatie
nilinyimwa mialiko ya kirisimasi humu ndani..
tafadhali niwekee wallpaper za kuzaliwa yesu kristo ili niondokane na hasira zangu..

hii wallpaper nimeiweka kwenye desktop...
nataka wallpaper zenye ubora zaidi ya huu
hii ni amri na si ombi
1578593489418.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo sikutaka ku comment kabisa humu
Ila daah!nimecheka sana

#ndoayamkeka


All the good stuff happens outside our comfort zone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] haha pole Maa, humu kuna visa sana!



Nikifika humu nashindwaga kuzuia kicheko[emoji23]


#PenziMoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha waseme sina budi nawe , sikhofu lawama sababu ya wewe
ungekuwa nyoka niradhi uniuwe , seuze ndege tausi wache walalame
ungekua nyoka(haijalishi black mamba), sumu yako dawa, damu husafika maradhi hupoa,

uzuri hakika wewe umepewa , siwezi kwepuka liwe litokuwa
nimefunga nia katu sibadili, hapana khatia (makosa) kupenda jamani
hiyo ni tabia, pasiwe na suali, nimeridhia na nimekubali


dedication kwa bwana harusi na bibi harusi asiyependa kuzungumza nyakati za usiku, jamani musifyatue sana hao watoto......
kunyweni urojo baadae mulale..
hizo tabia za kijitu kizima... honey geuka huku ziacheni
 
Back
Top Bottom