D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kumbe hata wewe mzee wa var umeligundua hilo bila ya kutumia zile mashine zako...hapo kwa myoyambendi na moudgulf hujakosea hata kidogo
hao jamaa ni ndugu lakini wakija humu wanajifanya mabaharia wasiojuana...