Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464821459_83641.jpeg
 
Uje kwenye hiyo ya mabikira 70[emoji23][emoji23] ingawa ina ugumu wake
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nikale raha ya milele kwenye kuimba na kuabudu 24/7....japo huwa naitamani tamani ile akhera nyingine ya mabikra 72. Haya mambo we acha tu aisee. Hufai [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nida wangeanza na Makao Makuu.
Pumbavu sana
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola leo Januari 9 amemvua madaraka Ofisa wa Nida mkoni Ruvuma, Seif Mgonja kwa kosa la kutogawa kwa wananchi namba za utambulisho wa taifa 14,493 tangu Desemba 31, 2019. Pia amemuondoa Ofisa wa Nida Wilayani Namtumbo kwa kutohudhuria kikao chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom