Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabaharia bana [emoji16][emoji16][emoji16]
463503633_373125.jpeg
 
Upande wangu poa kabisa. Huko kwako kukoje? Heshima hiyo ya pekee na ikurudie pia sabini mara sabini TH. Waite King na Carba sasa ili moto wa hashtags uwake [emoji16][emoji16][emoji16]
Mungu ni mwema sana, sisi wakulima tunashangilia mvua ya kuchipua mahindi yetu[emoji28]

Haha, ngoja niwaite waje kumpa hongera Bwana VAR, Kuopoa ka binti kachangamfu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah! Bwana VAR sasa siyo mwenzetu. Anakula halafu anakula na kula tena yaani ni full urojo tu. Kaite Kazaramo kasije kupitwa na hii [emoji16][emoji16][emoji16]
 
RIP Nguli Kezilahabi
chanzo JF:
Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!

yupo anayemiliki softcopy ya kitabu hiki?
Kaptula la Marx,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom