carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji4] [emoji4]andjul
Sawa hata ukisema niwe nakubeba mgongoni hadi mazoezini maana password za kichwa nishakupa nasubiri amri tu
Mie wala sibanduki kwa andjul, hapa ndio nshafika.Na wasiwasi na Cole Williams maana mtu akitoka kidogo tu mdomo wqke unajaa maneno ya kupetipeti mali za wqtu
Cheers carbamazepineAcha waugue tu tutawatafutia dawa...cheers kwa kugundua hilo[emoji482] [emoji482]
Asante dadangu kipenzi, leo kutwa ntalinda likes zenu hapakaribu kaka QUIGLEY
Cocochanel hafai, ana mambo mengi. Ngoja nivizievizie nitafute kimwana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
a.k.a BombadierSafari za kopo tamu
Gaucho, hajatokea mwingine kama yeye.Ronaldinho
Dada nani vileee[emoji134] [emoji134] [emoji134]nisaidie kumtaja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]10 we si ulimsogeza kwa dada nani hiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Poa QUIGLEY hajaonekana humu leo nikajua uko nae
Sanaaaaa!! Ni vile tu huwa hatujithamini na kujiona tupo sahihi. Ila kila mzazi akijitathmini basi atagundua ni kwa kiasi gani anakosea.Bhasi wazazi wengi wana makosa
Una misemo balaa[emoji23][emoji23]Pendo la mwana liwa magoni kwa nina.
Halafu wewe[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiari yashinda utumwa,beba tu mkuu
Si ndio hapo labda alikuwa hajui hiloSio hela tu na kamakinikia nilisha kupa.Aseme lingine....
karibu sana bro.... nasubiria like zako hapa broAsante dadangu kipenzi, leo kutwa ntalinda likes zenu hapa
Angalia sana usiishie kupost magari ya wanaume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio hela tu na kamakinikia nilisha kupa.Aseme lingine....