cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Radhi za wazee ni fimbo kubwa kwa mwanadamu
Huyu jamaa sio ambae ana thread ya mambo ya kichawi?Ulienda kusafisha kichwa?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Likes hazijawahi kumuacha mtu salama
Ili niendelee kufanikiwa hawa maadui ni lazima ila bado nakuamini[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani hao ndo walileta ushahidi humu
aleyn mambo ..... toa likes upate likes.Jakitoo babyyyy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo mzee wa fitna huyo achana naeHahahahahah
carbamazepine naonewa huku
Hahahaaaaa!! Sitaki uchochezi mimi!!!Hahahahahahaha ya kwanza????
Kweli mkuu, juzi kati alifanya vitu sumu kwenye game ya wakongweGaucho, hajatokea mwingine kama yeye.
Karibu sanaNimerudi mpenzi
Ninaupiga vita sana na siutaki kabisa.Umaskini mbaya
Kichwa kichafu daaah bora u chill zako tu
Wakati unasubiri yake chukua hiyo yangu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]karibu sana bro.... nasubiria like zako hapa bro