Ukimweka kando Maguire anayesumbuliwa na maumivu ya nyonga, mabeki wengine wagonjwa kwenye kikosi hicho cha Man United ni Marcos Rojo anayesumbuliwa na maumivu ya misuli
Eric Bailly anasumbuliwa na maumivu ya goti, Luke Shaw nni mgonjwa, Axel Tuanzebe ana maumivu ya poaja na Timothy Fosu-Mensah anasumbuliwa na maumivu ya goti.
Hivyo ni rahisi tu kusema kwamba beki yote ya Man United ipo kwenye wodi ya wagonjwa, mbona kazi wanayo!
Msimu huu kwenye Ligi Kuu England, beki huyo ya Man United imeruhusu mabao 25, wakiizidi timu moja tu kati tano zilizopo juu kwenye msimamo, ambao ni Chelsea waliofungwa 29.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.