Hivyo ni rahisi tu kusema kwamba beki yote ya Man United ipo kwenye wodi ya wagonjwa, mbona kazi wanayo!
Msimu huu kwenye Ligi Kuu England, beki huyo ya Man United imeruhusu mabao 25, wakiizidi timu moja tu kati tano zilizopo juu kwenye msimamo, ambao ni Chelsea waliofungwa 29.