Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aione MLEVi MmojaWANANCHI WATAKIWA KUACHA KUTUMIA VILEVI KUTOKANA NA ONGEZEKO LA JOTO
Chama cha Madaktari (MAT) wametoa ushauri kwa wananchi kuacha matumizi ya vilevi na mazoezi mazito yanayoweza kusababisha mwili kuchemka na kuongeza kiwango cha joto
Madhara ya joto yanaweza kusababisha seli za mwili kushindwa kufanya kazi kutokana na mwili kupoteza maji na chumvichumvi nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1319844