Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa Fidel Castro,Tanzania tulipata rafiki wa kweli.

Alituma Waalimu,Madaktari na wataalam wengine kuja kusaidia kujenga nchi yetu.Zaidi aliwapokea vijana wetu nchini kwake ili wakapate Mafunzo.

Mwaka 1977 alifika nchini ktk ziara ya siku 5.Yeye na Nyerere wanakumbukwa kwa kupinga uonevu.

View attachment 1319722

Sent using Jamii Forums mobile app
"...Yeye na Nyerere wanakumbukwa kwa kupinga uonevu"

Sentensi tata ajabu [emoji115][emoji115][emoji115]
 
e12aac2e-90a4-452b-a4aa-d612de138666.jpeg
 
MAISHA NA MAAJABU YAKE

[emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone

[emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme

[emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda

[emoji818]Aliyegundua pesa alikufa na madeni

[emoji818]Mpenzi wako mpya kwa mwingine ni wa zamani

[emoji818]Aliyegundua simu (Alexander Bell) mama yake alikuwa kiziwi (jiulize aligundua ili kumpigia nani)

[emoji818]Kuna watu wameajiriwa ila wanafundisha wengine jinsi ya kujiajili

[emoji818]Baba mlevi apendi mwanae anywe pombe

[emoji818]anayekupa ushauri wa ndoa yeye mwenyewe imemshinda

[emoji818]Wachina wanatengeneza dawa za kuongeza makalio ila wao wapo kama rula

*MAISHA NI SIMPLE USIPOJICHANGANYA*
 
Back
Top Bottom