Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200111_164827_260.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi kuja hapa Zanzibar kwasababu kuna zile rangi ambazo zinanifurahisha kwenye macho, tangu jana na leo ninaziona tu, kuna rangi nikiziona yaani najisikia vizuri sana kwenye moyo, yaani kwakweli hongereni sana wenye rangi hizi”- JPM

ina maana huko kwenu anaona zile rangi za wanajeshi tu, depal, numbisa, mishil huko kwenu hakuna rangi za kumeremeta?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngosha ni ngosha tu
 
Hiyo ni soda sio sumu, ulishawahi kunywa huu mchanganyiko sungwi,karanga,mbilimbi,pera,mua na embe ng'ong'o..? Wanamix na kapanado kidogo ili kupunguza makali!! Hata Hivyo sitarudia maana sielewi mpaka leo nilikosea wapi hadi nikadandia gari ya polisi sijui hata nilifata nini..? Ngeo inatosha kuwa kumbukumbu.
 
Nimefurahi kuja hapa Zanzibar kwasababu kuna zile rangi ambazo zinanifurahisha kwenye macho, tangu jana na leo ninaziona tu, kuna rangi nikiziona yaani najisikia vizuri sana kwenye moyo, yaani kwakweli hongereni sana wenye rangi hizi”- JPM

ina maana huko kwenu anaona zile rangi za wanajeshi tu, depal, numbisa, mishil huko kwenu hakuna rangi za kumeremeta?
Ila wasukuma jamani [emoji3][emoji3] wahamie Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi kuja hapa Zanzibar kwasababu kuna zile rangi ambazo zinanifurahisha kwenye macho, tangu jana na leo ninaziona tu, kuna rangi nikiziona yaani najisikia vizuri sana kwenye moyo, yaani kwakweli hongereni sana wenye rangi hizi”- JPM

ina maana huko kwenu anaona zile rangi za wanajeshi tu, depal, numbisa, mishil huko kwenu hakuna rangi za kumeremeta?
Wasukuma na rangi nyeupe dah! Yaani kama wamerogelezewa yaani....[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom