Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngosha ni ngosha tuNimefurahi kuja hapa Zanzibar kwasababu kuna zile rangi ambazo zinanifurahisha kwenye macho, tangu jana na leo ninaziona tu, kuna rangi nikiziona yaani najisikia vizuri sana kwenye moyo, yaani kwakweli hongereni sana wenye rangi hizi”- JPM
ina maana huko kwenu anaona zile rangi za wanajeshi tu, depal, numbisa, mishil huko kwenu hakuna rangi za kumeremeta?
Hiyo ni soda sio sumu, ulishawahi kunywa huu mchanganyiko sungwi,karanga,mbilimbi,pera,mua na embe ng'ong'o..? Wanamix na kapanado kidogo ili kupunguza makali!! Hata Hivyo sitarudia maana sielewi mpaka leo nilikosea wapi hadi nikadandia gari ya polisi sijui hata nilifata nini..? Ngeo inatosha kuwa kumbukumbu.
Ila wasukuma jamani [emoji3][emoji3] wahamie ZanzibarNimefurahi kuja hapa Zanzibar kwasababu kuna zile rangi ambazo zinanifurahisha kwenye macho, tangu jana na leo ninaziona tu, kuna rangi nikiziona yaani najisikia vizuri sana kwenye moyo, yaani kwakweli hongereni sana wenye rangi hizi”- JPM
ina maana huko kwenu anaona zile rangi za wanajeshi tu, depal, numbisa, mishil huko kwenu hakuna rangi za kumeremeta?
Mmmh vinaringaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma na rangi nyeupe dah! Yaani kama wamerogelezewa yaani....[emoji16][emoji16][emoji16]Nimefurahi kuja hapa Zanzibar kwasababu kuna zile rangi ambazo zinanifurahisha kwenye macho, tangu jana na leo ninaziona tu, kuna rangi nikiziona yaani najisikia vizuri sana kwenye moyo, yaani kwakweli hongereni sana wenye rangi hizi”- JPM
ina maana huko kwenu anaona zile rangi za wanajeshi tu, depal, numbisa, mishil huko kwenu hakuna rangi za kumeremeta?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Inabidi mtafute hapo mnapokwama[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wasukuma bana. Sijui wanakwama wapi....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]