asantee mkuu sitokuangusha kukupa likesWakati unasubiri yake chukua hiyo yangu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Kula likes kwanza
Kichwa kichafu hii thread imekupa likes elfu ngapi..?? Maana unalala na kuamkia hapa
Niaje shemejiSanaaaaa!! Ni vile tu huwa hatujithamini na kujiona tupo sahihi. Ila kila mzazi akijitathmini basi atagundua ni kwa kiasi gani anakosea.
Hujambo mkuu JovithaKwema[emoji41]
Report ya tume ya profesa mluma ni takataka, takataka kabisaaaaaNeno la talaka, silo la dhihaka.
carbamazepine [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kichwa kichafu daaah bora u chill zako tu
Karibu tenaNimerudi kulisongesha
Hatujambo ila pokea like kwanzaWanauzi hamjambo, nimewamiss sana watu wangu, takrbani 30hrs sikuwamo ndani ya huu Uzi kwa sababu za kibinadamu.
Usijali mkuuYaishe Mkuu, ngoja niende zangu mie mwana mkosefu.
Kweli kabisaPasipo mwanaume, nguzo ya nyumba, nyumba itavunjika.
Quigley ni maji ya kina kirefu, kichwa k hawezi kuogelea hapa lazima azameAlienda punguza hasira mana umemchukulia sammyluv[emoji23] [emoji23]
carbamazepine niaje, mzima[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anajua sana,kiburi tuSi ndio hapo labda alikuwa hajui hilo
Karibu tena!Wanauzi hamjambo, nimewamiss sana watu wangu, takrbani 30hrs sikuwamo ndani ya huu Uzi kwa sababu za kibinadamu.
Nimeziona mkuu, pamoja sana. Nasubiri posts zako nkudondoshee likesasantee mkuu sitokuangusha kukupa likes
Mambo
Karibu tena moudgulfWanauzi hamjambo, nimewamiss sana watu wangu, takrbani 30hrs sikuwamo ndani ya huu Uzi kwa sababu za kibinadamu.
Sawa mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo mzee wa fitna huyo achana nae