Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Maisha haya we acha tu. Watu wanepitia mengi ila aliyenifungia kazi ni huyu jamaa.Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?
Habari za muda huu wakuu, naimani mko poa na January inaendelea kuyoyoma. Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Kwanza kabisa lazima tukubali kuna muda mtu unapigika na life hadi unaanza kuwaza kazi za ajabu au ambazo hukuwahi dhani utayafanya. Wengine wanafikia maamuzi na wanafanya...www.jamiiforums.com
Aisee acha tu,watu wanapitia changamoto zenye hatari.Maisha haya we acha tu. Watu wanepitia mengi ila aliyenifungia kazi ni huyu jamaa.
Haki ya nani [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1320968