Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Mmepigwa poti?MC...[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Ndiyo. Kabinti kangu hako [emoji7][emoji7][emoji7]
Kampiga mtu 5-0 na bado mpira unaendelea poti. Habari hii imfikie Numbisa popote alipo. 😀😀Mmepigwa poti?
@Numbisa tunapishana tu ktk jambo moja nalo halina mantic sana kati ya mimi na wewe.9: Mazoezi: Mwili unapokuwa na maji ya kutosha, yatakufanya uwe na nguvu ya kufanya mazoezi yako ya kutosha, hivyo kupata faida ya mazoezi ipasavyo.
Duh mkuu una ratiba ngumu. Tunaweza singizia kiporo cha wali ila tumbo likikupenda hata ufanye nini halitakata lote labda kwa oparesheni.@Numbisa tunapishana tu ktk jambo moja nalo halina mantic sana kati ya mimi na wewe.
Hapo juu kwenye vyakula vya mazoezi umenivutia saaana mrembo.
Hebu niambie kwa ufasaha. Mimi nafanya mazoezi sana,kila siku nina saa moja ya mazoezi. Naanza kukimbia au kuruka kamba nusu saa,nafuata nondo,mtindo tofauti tofauti pc 300 au push up pc 300. Kila mwisho wa mazoezi yangu nina push up 30 (mkupuo mmoja)mara 10 za tumbo. Lakini Shida ni moja TUMBO. Pamoja na zoezi la kukata tumbo,babo halijakata kama ninavyotaka. Japo limekata lakini bado zipo nyama ninazotaka zikate kabisa pembeni ya tumbo. Ksbb nimelichukulia serious hili la kukata tumbo kwa muda mrefu sana na kwa uaminifu mkubwa,lakini bado halijanipa matokeo ninayoyatarajia.
Nafikiri na-fail kwenye vyakula.
1. Asubuhi nakula supu ya samaki kipande+mchuzi+ndizi moja ya kuchemsha. Siku moja moja kiporo cha wali kidogo+chai. Baada ya kama nusu saa maji kama lita 1
2. Mchana wali (inaweza kuwa nusu plate ya kawaida) ugali ni kidogo inaweza kuwa sawa na ngumi moja na nusu+samaki wa kukaanga au kuchemsha siku moja moja+mboga za majani. Baada nusu saa maji kama lita moja
3. Usiku saa moja na nusu au saa 2. Matunda mchanganyiko papai +nanasi +parachichi +tikiti =plate moja. Siku moja moja wali robo plate +mboga mboga au maharage au dagaa. Baada ya nusu saa maji.
Swali NAKOSEA WAPI ili nilibalance nitakavyo hili tumbo?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani hongera sana [emoji7][emoji7][emoji7]Ndiyo. Vibinti vyangu hivyo [emoji7][emoji7][emoji7]
Duuh...! Oparation tena mkuu?. Basi ngoja niendelee kupambana nalo mdogo mdogo.Duh mkuu una ratiba ngumu. Tunaweza singizia kiporo cha wali ila tumbo likikupenda hata ufanye nini halitakata lote labda kwa oparesheni.
Mpendwa umejaribu kunywa maji ya moto kiasi kidogo asubuhi kabla hujakula chakula chochote kwenye tumbo.@Numbisa tunapishana tu ktk jambo moja nalo halina mantic sana kati ya mimi na wewe.
Hapo juu kwenye vyakula vya mazoezi umenivutia saaana mrembo.
Hebu niambie kwa ufasaha. Mimi nafanya mazoezi sana,kila siku nina saa moja ya mazoezi. Naanza kukimbia au kuruka kamba nusu saa,nafuata nondo,mtindo tofauti tofauti pc 300 au push up pc 300. Kila mwisho wa mazoezi yangu nina push up 30 (mkupuo mmoja)mara 10 za tumbo. Lakini Shida ni moja TUMBO. Pamoja na zoezi la kukata tumbo,babo halijakata kama ninavyotaka. Japo limekata lakini bado zipo nyama ninazotaka zikate kabisa pembeni ya tumbo. Ksbb nimelichukulia serious hili la kukata tumbo kwa muda mrefu sana na kwa uaminifu mkubwa,lakini bado halijanipa matokeo ninayoyatarajia.
Nafikiri na-fail kwenye vyakula.
1. Asubuhi nakula supu ya samaki kipande+mchuzi+ndizi moja ya kuchemsha. Siku moja moja kiporo cha wali kidogo+chai. Baada ya kama nusu saa maji kama lita 1
2. Mchana wali (inaweza kuwa nusu plate ya kawaida) ugali ni kidogo inaweza kuwa sawa na ngumi moja na nusu+samaki wa kukaanga au kuchemsha siku moja moja+mboga za majani. Baada nusu saa maji kama lita moja
3. Usiku saa moja na nusu au saa 2. Matunda mchanganyiko papai +nanasi +parachichi +tikiti =plate moja. Siku moja moja wali robo plate +mboga mboga au maharage au dagaa. Baada ya nusu saa maji.
Swali NAKOSEA WAPI ili nilibalance nitakavyo hili tumbo?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok asante inabidi nifuate hiyo. Hiyo sijawahi. Asante sanaMpendwa umejaribu kunywa maji ya moto kiasi kidogo asubuhi kabla hujakula chakula chochote kwenye tumbo.