Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_1524657578373.jpeg
 
Eti bro ni kweli hawa saiz ya sanchi hawapatag watoto kisa fibroids? Kuna jamaa anasema huko photos uzi wa nyumba ni choo
Aisee sina uhakika na hili kwa sababu ni suala la kitaalamu. Labda Mtaalamu wetu aje atusaidie...

Huko IG wapo wana watoto mbona na ni maboflo boflo dizaini hii hii ya akina Sanchi?
 
 
Mashabiki wamlipua Lupita Nyong'o kwa madai ana tabia mbaya ya kupuuza mashabiki wanaomsapoti na kazi zake. - - Shabiki mmoja amesema alihudhuria show ya Black Panther siku moja kabla ya movie hiyo kutoka rasmi. Alikutana na Lupita ukumbini na kumueleza ni jinsi gani anamkubali na kuomba wapige picha lakini mwenendo wa staa huyo haukuwa mzuri huku akizungusha macho yake na kutoa pumzi ndefu kuonesha kutofurahishwa - - Mwingine aliyedai alikuwa extra katika movie ya Black Panther ameonekana kusapoti kauli hiyo kwa kusema hata location Lupita alikuwa mwenye kisirani cha wazi wazi !
 
Back
Top Bottom