Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaweza ukakumbatiwa na mwanamke mrembo kuliko beyonce wa nyakati zile na usione jambo la ajabu kiupande wako hususani kihisiaaa....
kumbatio la zlatan ibrahimovic ni baraka tosha kwenye maisha yakoooo...
hayaaa andunjeeee amekumbatiwa na Mungu anayetembea... kimejisikia rahaaaaa kama kimekunywa urojo wa bifatuma kipua
View attachment 1321240
Hee halafu yametoka kama yamepikwa na ngosha the don[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maziwa ya unga,sukari,hamira, maji ya moto kidogo, chumvi kidogo, mafuta kiasi na hiriki kiasi.
Jirani hujambo....Kunywa Maji
mara nyingi huwa tunakua wavivu kunywa maji, lakini ukijiwekea kuwa una kunywa maji mengi/mara kwa mara kwa siku itakusaidia kuto kusikia njaa, hii itakufanya uwe mbali na vyakula vyakula vya hapa na pale visivyo kuwa na msingi lakini pia maji yana saidia kufanya ngozi iwe nyororo so ni maji maji maji maji. unaweza kuongezea vitu kama limao, tango, tangawizi katika maji yako inaitwa detox water
Sijambo jirani,za asubuh?Jirani hujambo....
Salama jiraniSijambo jirani,za asubuh?
Badili nguo jirani....
Jirani akipendeza - inapendeza...