Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hiyo nature mnaitafuta nyie.. Mungu hakuwaumba hivyoNgoja tumuulize Masoud Kipanya. Alisema ukweli wakamwandama weee! Nature is polygamous. 'Nough said [emoji2221][emoji2221]
View attachment 1321864
%Nature vs nurture.....
Siku hizi furaha na Faraja watu wanavitengeneza mwenyewe, hapo utakuta hicho kijipost kakitengeneza yeye 😀Mtu mpaka anaweza kuogopa, inakuwaje habari nzito kama za Messi ukaokote okote habari bila reputable sources.
Nimeshangaa sana Mkatalunya
Umeelewa nini niliposema Nature is polygamous?Hiyo nature mnaitafuta nyie.. Mungu hakuwaumba hivyo
Kuliko kuwa na mwanaume mwenye wanawake wengi,Ni Bora nisiwe na mwanaume kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji443][emoji443]Watanzania jambo?