Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I am puzzled [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
074b38d4-ad06-403d-ae7b-8ab94a260e1f.gif
 
Kiungo mchezeshaji wa kikosi cha Tottenham Christian Eriksen , ambaye mkataba wake unafikia mwisho, amekubali kuichezea Inter Milan kwa mkataba wa miaka minne na nusu na Spurs ikitaka kumuuza mchezaji huyo, 27 kwa kitita cha pauni milioni 17 mwezi Januari. (La Gazzetta dello Sport, via Mail)
 
Machester United imeahidi kutoa pauni milioni 65 pamoja na malipo ya nyongeza ili kumpata kiungo wa Sporting Lisbon na timu ya taifa ya Ureno Bruno Fernandes, 25, baada ya pendekezo la kutoa fedha na kubadiishana wachezaji kushindikana. (Mirror)
 
Back
Top Bottom