Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo nature mnaitafuta nyie.. Mungu hakuwaumba hivyo
Kuliko kuwa na mwanaume mwenye wanawake wengi,Ni Bora nisiwe na mwanaume kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa nini niliposema Nature is polygamous?

Ngoja tu nisiseme cho chote kuhusu mada hii. Pata kwanza huyo mwanaume wa peke yako kabisa kabisa 100% ndo uje tuendeleze mjadala....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…