Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1578927200846.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandaeitini bana. Jibu ni lile lile tu: "Nature is polygamous...and this is a fact !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

View attachment 1322153

Bro Kwahiyo Bill gate lazima atakuwa na matatizo maana ki uchumi yupo vizuri na je hayo matatizo aliyonayo ni matatizo yepi

Masoud atusaidie hapa

Habari za wakati huu Bro
 
Bro Mbona unamkatisha Tamaa Mtakatifu Anne
Simkatishi tamaa bro. Mtakatifu ni msomi wa Chuo Kikuu na ana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo tena katika mikondo mbalimbali ya mawazo. Kibwagizo changu hicho chokonozi cha nature is polygamous kimeegemea zaidi katika mkondo wa kimaumbile lakini Mtakatifu anaweza kukiangalia katika mikondo mingine mf. Kiroho, kiuchumi, kijamii na hata kifalsafa.

Kwa ujumla sina wasiwasi na Mtakatifu na namuombea sana asije akaangukia katika mikono ya mabaharia [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Hiyo aya ya mwisho imenichekesha sana, kwakweli nami namuombea asije dondoka kwenye mikono ya wahuni
 
Bro Kwahiyo Bill gate lazima atakuwa na matatizo maana ki uchumi yupo vizuri na je hayo matatizo aliyonayo ni matatizo yepi

Masoud atusaidie hapa

Habari za wakati huu Bro

Hoja ya kimajumuisho haiwezi kutenguliwa na vighairi (exceptions) ambavyo havina uzito kidata.

Bill Gates kuwa na mke mmoja (japo hatujui kama hana/hajawahi kuwa na wanawake wengine) hakutangui msingi wa hoja ya Masoud. Na inabidi pia kuangalia mazingira na utamaduni wa jamii husika. Kama unazungumzia wake huko kwa Bill Gate kuoa mke zaidi ya mmoja ni kosa kisheria na ukigundulika unachezea mvua za kutosha tu.

Huku kwema bro. Chimboni kwako huko vipi?

By the way #Hakuepukiki [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom