Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464135170_397677.jpeg
 
Truth.
Hivi ikitokea mke/mpenzi akasema hapendi utumie huu mtandao wa JamiiForums utachukua uamuzi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi anipe sababu tatu nzuri na zenye mantiki. Halafu anitafutie mtandao/shughuli mbadala ya kuwa nafanya ili kupoteza muda/kurelax....

(Nshadandia treni kwa mbele dah...)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shughuli haiwezi kukosekana we ngosha vipi??

Back
Top Bottom