Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Kiukweli wana nafasi ndogo sana, ni kama haipo kabisa. Kwa sababu linapokuja suala la mahusiano mimi natofautiana na watu wengi kimtazamo wakiwemo ndugu na marafiki.Thought litakuwa rahisi tu
Je Wanawake wenzio ikiwa marafiki, mashoga na ndugu wananafasi kiasi gani Kwenye kufanya maamuzi yako
Ya kimahusiano?
Ulishawahi kumuomba mwanamke uliyeachana nae mrudiane?
Sent using Jamii Forums mobile app