Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwahiyo tukubali ni Tamaduni na si Nature
Hapana. Nimekupa hiyo article hapo juu kama mfano. Evolutionary Biologists wameshafanya tafiti nyingi kuhusu hii ishu na wanakubaliana kuwa kuna sababu za kimaumbile zinazotokana na evolution ambazo zinawafanya wanaume wawe more susceptible to cheating kuliko wanawake.
 
Ila hakuna mahala wamepewa Haki ya kucheat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hili swali la mwisho kuhusu hiyo ishu, sijawahi kuweza kupenda watu wawili kwa mpigo.
Unaweza kutoka na ex wa rafiki yako?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana siwezi pia mara nyingi hata mazoea na wapenzi wa rafiki za sitaki

Tangia kuanza kwako mahusiano umefikisha wanaume zaidi ya watano, Na umewahi kuwa na mahusiano yaliyo dumu zaidi ya miaka 3
 
Hili swali sijawahi kujibu ukweli na siwezi kuanza leo[emoji23][emoji23][emoji23] swali lingine please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
853508583_81527.jpeg
 
Back
Top Bottom