moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Maandaeitini bana. Jibu ni lile lile tu: "Nature is polygamous...and this is a fact !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1322153
Bro Kwahiyo Bill gate lazima atakuwa na matatizo maana ki uchumi yupo vizuri na je hayo matatizo aliyonayo ni matatizo yepi
Masoud atusaidie hapa
Habari za wakati huu Bro
Simkatishi tamaa bro. Mtakatifu ni msomi wa Chuo Kikuu na ana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo tena katika mikondo mbalimbali ya mawazo. Kibwagizo changu hicho chokonozi cha nature is polygamous kimeegemea zaidi katika mkondo wa kimaumbile lakini Mtakatifu anaweza kukiangalia katika mikondo mingine mf. Kiroho, kiuchumi, kijamii na hata kifalsafa.Bro Mbona unamkatisha Tamaa Mtakatifu Anne
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Simkatishi tamaa bro. Mtakatifu ni msomi wa Chuo Kikuu na ana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo tena katika mikondo mbalimbali ya mawazo. Kibwagizo changu hicho chokonozi cha nature is polygamous kimeegemea zaidi katika mkondo wa kimaumbile lakini Mtakatifu anaweza kukiangalia katika mikondo mingine mf. Kiroho, kiuchumi, kijamii na hata kifalsafa.
Kwa ujumla sina wasiwasi na Mtakatifu na namuombea sana asije akaangukia katika mikono ya mabaharia [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Bro Kwahiyo Bill gate lazima atakuwa na matatizo maana ki uchumi yupo vizuri na je hayo matatizo aliyonayo ni matatizo yepi
Masoud atusaidie hapa
Habari za wakati huu Bro