Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Ada zinazidi hata za Harvard [emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna jamaa yangu ameacha kufundisha chuo hapa amekwenda kufundisha IST. Very good pay kwa mazingira ya Bongo.
 
Mh!!
 
Ikizimwa taa hapo utasikia "Men are from Heaven"...[emoji3][emoji3][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nilikuwa nakutafuta Poti. Mtanange wa leo kati ya LSU na Clemson unafikiri nani ataibuka kidedea?

Halafu nyie nini kiliwapata? Hamkufika Playoff mwaka huu au mlitolewa mwanzo mwanzo? Big Ben keshazeeka. Anzeni kutafuta quarterback mpya. Hawa akina Lamar Jackson, Mahomes na huyu wa Tennessee Titans watawasumbua sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…