Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na ujasiri wako wote huo kumbe unaogopa nyoka? Gotcha !!!

Ulimkuta malkia Isis akiwa bado active humu? Alikuwa anaweka mijoka hata siku nzima. Hapo si ingebidi ukimbie kabisa? Pole !!!
Aisee naogopa sana nyoka jamani, na roho yangu ngumu hii naogopa hata picha ya nyoka. Mimi movie hata iwe ya kutisha namna gani naangalia ila ikiwa na nyoka hata iwe nzuri kiasi gani angalieni wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yeah. Brady, Brees, Ben na wengineo muda wao unaisha. Aaron Rodgers bado kidogo ila naye anaelekea huko huko tu. Vijana wapya akina Lamar Jackson na Mahomes wanakuja kasi na wanatishia kubadili kabisa sura ya gemu nzima. Hasa huyu Mahomes ni hatari sana. Yaani anacheza chess uwanjani kiajabu kabisa. Aliyofanya jana ni maajabu tupu na kama akiendelea kucheza hivyo wanaweza kwenda "all the way" kama anavyosemaga yule jamaa mtangazaji (Berman?)

Lamar Jackson bado mgeni. Mwaka kesho anaweza kuwa mzuri zaidi labda tu jamaa wamjulie kama walivyofanya kwa RG III. Wakimdadavua basi itakuwa kwisha habari yake. Ila huyu Mahomes is for real.

Kwa gemu ya leo LSU wanapigwa na huyu Burrow wao. Niko na Dabbo Swinney na yule quarterback wake toli asiye na papara. Two championiships in a row...Clemson let's gooo!!! [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…