Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je dhambi ya usaliti inaweza muacha mtu salama au ni swala la muda tu?
365f405f24668138652e5446e63dc70a.jpg
Mkuu hapa siyo mahali pake, huu ni uwanja huru wa burudani usio na povu, wala ban, masuala hayo peleka kule kwenye majukwaa mengine
 
Hii sio gari ya mchina mzee wa ikwirir hii[emoji125] [emoji125]
Lilikuwa la Kichwa kichafu alilokuwa ameng'oa viti vya nyuma,akaamua kuniuzia baada ya kushindwa kununua tyres[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sijui unampendea nini, kwa maintenance ni zero[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom