Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inategemea na aina ya misukosuko unauokutana nayo.
Mwanamke una michepuko, mwanamke mbishi, mwanamke unajifanya mjuaji, mwanmke hutaki kutoa kilichokuleta.
Mambo hayo usitegemee kupata ndoa yenye amani.
Vinginevyo kinyume chake, mwanamke unaweza kuwa muungwana na mstarabu lakini ukampata mwanaume mwenye tabia hiyo, basi utaomba heri ubakie bachela kuliko ndoa ya aina hiyo
Hivi kati ya ambaye hajaolewa na ambaye ameolewa lakini ndoa yake ina misukosuko kila kukicha afadhali ya jana yupi bora

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah kwahiyo mie naona bora jamii iache kila mtu aishi maisha yake isilazimishe watu kuolewa wala kuachika na wala eti aliyeolewa asionekane ndiyo wa maana zaidi kuliko ambaye hajaolewa

Kuna watu wako kwenye ndoa na wana stress zaidi hata ya hao ambao wako hiyo 35+ na hawajaolewa hizi ndoa hizi acheni tu basi tu ni vile watu wengi hawasemi yanayowakuta kwenye ndoa zao
Swali hili kila mmoja atavutia upande wake ili uonekane bora zaidi waliopo kwenye ndoa na ambao bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…