myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Inategemea na aina ya misukosuko unauokutana nayo.
Mwanamke una michepuko, mwanamke mbishi, mwanamke unajifanya mjuaji, mwanmke hutaki kutoa kilichokuleta.
Mambo hayo usitegemee kupata ndoa yenye amani.
Vinginevyo kinyume chake, mwanamke unaweza kuwa muungwana na mstarabu lakini ukampata mwanaume mwenye tabia hiyo, basi utaomba heri ubakie bachela kuliko ndoa ya aina hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchana wa kula unaaga...
Kinachohitajika ni amani na furaha haijarishi upo kwenye ndoa ama la.Yeah kwahiyo mie naona bora jamii iache kila mtu aishi maisha yake isilazimishe watu kuolewa wala kuachika na wala eti aliyeolewa asionekane ndiyo wa maana zaidi kuliko ambaye hajaolewa
Kuna watu wako kwenye ndoa na wana stress zaidi hata ya hao ambao wako hiyo 35+ na hawajaolewa hizi ndoa hizi acheni tu basi tu ni vile watu wengi hawasemi yanayowakuta kwenye ndoa zao
Sent using Jamii Forums mobile app
muda utatupa jibu sahihi, ndio maana mwanzoni nikasema amerudi kutokana na shinikizo hivyo kama Simba itakua inaendelea kupoteza michezo, au wasichukue ubingwa hali itakua tofauti na atakosa uvumilivu kama ilivyotokea jana
π π π
πππ
Duh!Nature doesn't care. Sad !!!
View attachment 1322947
π π π
AsantePoleni walezi wa nyumbani..