Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Miundombinu mibovu ....Jiji limepanuka but still miundombinu mama niile ya mkoloni '' Ambayo kwa hii dunia ya sasa imepitwa na wakati
Pia ardhi Yake ni ya mchanga " Ardhi ya Aina hiyo huwa haichelewi kushiba Maji na kuanza kuyatapika
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ndiyo maana aise,, maana nilikuwa najiuliza sana sijui shida nini sababu mikoani asilimia kubwa ya barabara kuharibika ni hadi mvua zinyeshe hata wiki mfululizo ila huku mvua siku moja tu tena masaa tu tayari barabara hazitamaniki..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo ....hilo jiji miundombinu ni mibovu sana ..especially huko uswahilini ndio usiseme . Kuna zile nyumba ambazo zilijengwa bila hata ya ramani basi mvua zikinyesha kama hivyo " Mimaji inajazana kibao Mbaya zaidi Baadhi ya wakazi huwa wana diriki kupakua vyoo .......
Imagine!!! That's why dar na kipindu pindu ni Ma-best
Sent using Jamii Forums mobile app
Asaalam alaykumAahh Ngoja nifikirie kwanza ... Maana hao Depal na Hawachi ni habari nyingine kabisa mkuu ... wameumbika hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekuficha mwambie namsalimia.