Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3
FB_IMG_1579172630939.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha umeni remind enzi zetu za u-teenager palikuwa na binti 1 hivi Jina (x) Alikuwa anasoma Zanaki ..... Alikuwaga ni slay queen balaa ...

Pia alikuwa ni mlimbwende Haswaa full kutusumbua akili zetu '' Lakini bwana kwao alipokuwa anaishi ni kule mwananyamala uswahili mabondeni kabisa kama unataka kutokea tandale '' Yaani huko mvua ikinyesha ni risk kubwa Maji huwa yanajaa mpaka usawa wa magoti

Yeye kuishi huko kwangu kwangu haijawahi kuwa tatizo kwa sababu nayajua maisha ya wa-tanzania wengi tulivyo '' Ila sasa yeye ilikuwa hawezi kukuelekeza kwao Hata kwa bahati mbaya '' alikuwa hataki kabisa watu tujue anapo Ishi
Sana aise hilo la watu kufungulia vyoo nalo huwa linanikera sana,, Unapita barabarani unasikia harufu za vinyesi tu..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yard ya mwendo kasi imevuruga miumdombinu ya bonde la Jangwani.
Hakuna namna nyingine ila ni gharama tu
Serikali inapaswa kuliinua eneo hilo ili kuendana na hali ya sasa
Yaani hilo ni eneo korofi ....kila mwaka hiyo hali huwa inajirudia ....lakini ajabu ni kwamba serikali mpaka leo bado haijaja na plan Inayoweza kuondoa hiyo kero

Mbaya zaidi pamekuwa hivyo zaidi baada ya ile Yard ya mwendokasi kujengwa pale

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam mkuu ni kweli kabisa ... Wanabidi wajipange waje na mpango madhubuti ambao utakuwa ni muarobaini wa Ile kero ya jangwani
Yard ya mwendo kasi imevuruga miumdombinu ya bonde la Jangwani.
Hakuna namna nyingine ila ni gharama tu
Serikali inapaswa kuliinua eneo hilo ili kuendana na hali ya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom