myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wasafiri mfike salama....
Kwamba mpendwa si......
Duh! anataka nini huyo
Mji umebuniwa na mtawala wa kiarabu alyekuwa akitawala Zanzibar na maeneo mengine ya Pwani ya Africa mashariki miaka 200 iliyopitaIla huu mji sijui una nini,, kwanza joto kali pili hata mvua zikinyesha kidogo tu barabara hazipitiki na madaraja yanaanguka..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu sana...Mji umebuniwa na mtawala wa kiarabu alyekuwa akitawala Zanzibar na maeneo mengine ya Pwani ya Africa mashariki miaka 200 iliyopita
Tangu wakati huo serikali zote zilizopita, wajerumani, waingereza na serikali huru zimefuata miundombinu ileile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio.... 🤣Kwamba mpendwa si......
Mnaoendelea na kazi poleni sana..
Nipe wa Mexico
Asante
Asante
Ukiingia kwenye uzi wetu huu tayari una kazi...unaposti kufurahisha,kuelimisha, kushauri nk 😁Huwa unatusahau sisi majobless tuliopo nyumbani
Ndio ndioTunatumaini mtapata mavuno yakutosha kutokana na hizi mvua
Napanda nanasi huku mtwara😀Sio.... 🤣
Nawe pia mpendwaTunatumaini mtapata mavuno yakutosha kutokana na hizi mvua
😂 😂 😂Hongera sana..Napanda nanasi huku mtwara😀
Napanda nanasi huku mtwara😀
Ndio ndio