Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Liverpool imekubali kutoa Pauni 107 milioni kunasa saini ya nyota wa Bayer Leverkusen, Kai Havertz.
mambo vp
Esta Kwema?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema kabisa,pande hizo salama?Esta Kwema?
majukumu yamenibana ila nipo njian narudiSalama za kwako? Leo sijui umekula wapi?
Hukurudi mchana
huku ni mvua tu wasio na magari wanalalamika na wenye magari pia wanalalamikaKwema kabisa,pande hizo salama?
Hata huku ipo ila hatuna mafuriko kabisahuku ni mvua tu wasio na magari wanalalamika na wenye magari pia wanalalamika
majukumu yamenibana ila nipo njian narudi
#uniandalieKahawa