moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Lakini Eva alimsisitiza Adam ale tunda, maana yake utamu alikuwa anaujua. Unadhani yeye nyoka hakutamani tunda kwa kigori binti matata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Safiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo umekunywa nini jion hii ya leo??
All the good stuff happens outside our comfort zone.
Muda wa kupeana burudani
Duh!
hajambo kabisa, Julio unamskilizia huko kwenye visiwa vya wapi?labda nimekumbwa na mafuriko ya kumsikiliza mzee julio iglesia.
mama watoto hajambo?
"Nina miaka 24 halafu mnasema mi bado ni mtoto, Ebho.
Mi ni mtu mzima sasa, nahitaji kuwa na mpenzi"---DoraView attachment 1325239
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo umekunywa nini jion hii ya leo??
All the good stuff happens outside our comfort zone.