ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Lakini Eva alimsisitiza Adam ale tunda, maana yake utamu alikuwa anaujua. Unadhani yeye nyoka hakutamani tunda kwa kigori binti matata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Burudani za usiku
Aisee huu uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf inatibu stress[emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Picha; Ninauza kitanda na dinner set Hizi hapa.
Habari! Ninauza dinner set yenye viti vinne iko katika hali ya kawaida kwa bei ya tshs 140000/= inapatikana Mwanza. Pia ninauza kitanda cha mninga futi 4×6 kiko kwenye hali ya kawaida kwa tshs 60000/= kinapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi piga 0754257807.www.jamiiforums.com
All the good stuff happens outside our comfort zone.