Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waow[emoji7][emoji7][emoji7]
Nmejifunza mengi
Ila Mimi ninayo ya parachute..Sina Nazi ile pure
Mafuta mazuri kwa ajili ya Lips
Wasichana na wamama wengi ni watumiaji wa bidhaa nyingi za lipstiki zenye kemikali kwa ajili tu ya kulainisha midomo yao ya nje (lips). Kile wengi hawajuwi ni kuwa bidhaa hizi si salama sana kwa afya zao.
Bahati nzuri kwa wewe unayesoma makala hii mafuta ya nazi yanaweza kutumika kama lipstiki yako ya asili isiyo na madhara mabaya hapo baadaye.
Kwahiyo kama una tatizo la midomo kukauka basi uwe unapakaa mafuta ya asili ya nazi kila mara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1579382810336.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hufukuza wadudu mbali
Yanaweza kutumika kama dawa ya asili ya kufukuza wadudu (insect repellent) wakiwemo mbu. Unachohitaji ni kuchanganya pamoja na kiasi kidogo cha mafuta ya karafuu au ya mnanaa (mint) na ujipake juu ya ngozi yako na hakuna mdudu yoyote akiwemo mbu atakayekusogelea.
Pakaa mchanganyiko huu mara kadhaa katika siku kwa matokeo mazuri zaidi.
Mimi huwa natumia Nazi pekee
Haya ya karafuu siyajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta mazuri kwa ajili ya masaji
Mafuta ya nazi ni mafuta mazuri kwa ajili ya masaji na kukupatia hali ya utulivu unaouhitaji kupitia masaji.
Unaweza kuchanganya na mafuta mengine kama ya karafuu na kupata mchanganyiko wa mafuta maalumu kwa ajili ya masaji na ukiyatumia utaweza ku-relax kwa uzuri kabisa huku yakituliza mishipa, misuli, ubongo na mwili wako kwa ujumla
 
Hutumika kulainisha uke mkavu
Mafuta ya nazi yana matumizi mengi sana mwilini zaidi ya 100, kuna wanawake wana tatizo la kuwa na uke mkavu muda wote hata wakisisimuliwa vipi bado huwa wakavu.
Kuondokana na tatizo hilo pakaa mafuta ya nazi katika uke wako na utaona faida yake nyingine ikiwemo ya kutibu, fangasi na bakteria tena bila madhara yeyote mabaya.
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom