Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UNAHITAJI MAFUTA YA NAZI?
Hakikisha unapata mafuta ya nazi ambayo ni ya asili kwa asilimia 100, ikiwa utanunua dukani kuna uwezekano mkubwa yakawa yamechanganywa na kemikali zingine au haidrogeni kitu kinachoyapunguzia thamani yake ile ya asili.
Kama unapikia kwenye chakula najuwa wengi mnapenda wali wa nazi au hata tui lake likiwekwa kwenye samaki au hata mboga yoyote lazima utajing’ata ulimi, basi nakushauri usichanganye na mafuta mengine kwenye hicho chakula.
Yanauzwa gharama? Unaweza kutengeneza wewe mwenyewe nyumbani,
 
fuata hatua hizi zifuatazo:
1. Nunua nazi idadi utakayo
2. Pasua nazi na ukune na mbuzi
3. Chukua nazi uliyopata isage na maji kiasi kidogo kwenye blenda na ukamue upate tui Zito jingi
4. Chukua hilo tui weka kwenye chombo kisafi kikubwa au hata kwenye sufuria, funika na kitambaa (nguo yoyote Safi) na uache hivyo ipumzike kwa masaa 24
5. Kesho yake utaona maji yamebaki Chini na juu kuna layer kubwa ya tui lililoganda, chukua tui hilo la juu lililoganda na uweke kwenye sufuria nzito, weka kwenye moto kama dakika
6 hivi tayari umepata mafuta ya nazi.
Hakikisha yasiunguwe, chuja endelea kutumia mafuta yako.
 
JE UNAFAHAMU UGONJWA UITWAO PID!!!?
💉P.I.D NI NINI??!?
P.I.D ni kifupi Cha Pelvic Inflammatory Disease,ina maana ya "maambukizi katika via vya uzazi.
🙆Ugonjwa huu ni hatari sana unaikumba jamii yetu kwa Sasa na wengi hudhani Kama wanaugua U.T.I na mtu huishia kutibu U.T.I mara kwa mara bila ya mafanikio.
 
miongoni mwa dalili za Ugonjwa huu hatari ni:-
👉🏿kutokwa na uchafu mzito wenye rangi ya njano ama nyeupe kama mtindi.
👉🏿kuwashwa ukeni(wengi hudhani ni Fangasi)
👉🏿Uke kutoa harufu mbaya.
👉🏿kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
👉🏿Kuhisi michubuko ama vipele ndani ya uke.
Tatizo hili lisipopatiwa tiba husababisha maradhi yafuatayo👇🏻
👉🏿Husababisha ugumba.
👉🏿Kupata cancer ya Shingo ya kizazi.
👉🏿Hedhi kutoka bila ya mpangilio.
👉🏿Mirija ya uzazi kiziba.
👉🏿Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.
🍀Jali afya yako,afya yako ndio mtaji wako.
 
*Laini yangu ya Vodacom*

*BALANCE*

1. Salio la kawaida Tsh 0.00
2. Salio la M-PESA Tsh 0.00
3. Salio la M-PAWA Tsh 0.00

*MADENI*

1. Nipige tafu deni Tsh 3000/=
2. M-Pawa deni Tsh 58000/=
3. SONGESHA deni Tsh 76500/=

_Laini haijasajiriwa kwa alama za vidole[emoji276], Sina namba ya NIDA [emoji16] nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote.
 
*Laini yangu ya Vodacom*

*BALANCE*

1. Salio la kawaida Tsh 0.00
2. Salio la M-PESA Tsh 0.00
3. Salio la M-PAWA Tsh 0.00

*MADENI*

1. Nipige tafu deni Tsh 3000/=
2. M-Pawa deni Tsh 58000/=
3. SONGESHA deni Tsh 76500/=

_Laini haijasajiriwa kwa alama za vidole[emoji276], Sina namba ya NIDA [emoji16] nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu mfupi kuliko wote Duniani mwenye uwezo wa kutembea (kwa mujibu wa kitabu cha Guinness), Khagendra Magar (27), Magar amefariki kwa maradhi ya moyo, Pneumonia na Asthma nchini Nepal, alikuwa na urefu wa CM 67.8 (futi 2 na inchi 2). • Miongoni mwa walioonesha hu Sia zao za wazi baada ya kifo hicho ni Mfanyabiashara Mo Dewji ambaye amesema “Mtu mfupi zaidi Duniani amefariki kwa homa ya mapafu (Pneumonia) nchini Nepal akiwa na miaka 27, inahuzunisha
 
Msimamo ndiyo huo, hata mkiibania vipi ndiyo basi mmeshafeli[emoji23][emoji23]
FB_IMG_1579471535424.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali wewe unaondoka na Fawaida[emoji23][emoji23]
*Laini yangu ya Vodacom*

*BALANCE*

1. Salio la kawaida Tsh 0.00
2. Salio la M-PESA Tsh 0.00
3. Salio la M-PAWA Tsh 0.00

*MADENI*

1. Nipige tafu deni Tsh 3000/=
2. M-Pawa deni Tsh 58000/=
3. SONGESHA deni Tsh 76500/=

_Laini haijasajiriwa kwa alama za vidole[emoji276], Sina namba ya NIDA [emoji16] nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom