moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
4 ya wapi?Jana tumeshinda 4-1 sasa sijui mnatucheka nini
Sijawahi kuwa Manchester...hata ukiuliza hapa najua utapata majibu
[emoji3][emoji3] kwa hiyo unaikana yanga
Yanga ilipofungwa mfululizo ulimuona hapa?
Amerudi kwa ushinda wa Liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa najiuliza kwamba huyu manne ameshinda wapi!?!Safi sana Mkokaa.
Ukikwama kwa Manchester unajiliwaza kwa Simba[emoji106][emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app