Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ABAE4FEA-6A25-4494-9423-536334FB058F.jpeg
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema leo jumatatu itazifunga laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole na kutoa msisitizo kwa wanaowasajilia wenzao kwamba watashtakiwa.
•
"Leo tunazima laini ambazo hazijasajiliwa, kuzima tutazima, ambao wanasajilia wenzao wajiandae kushtakiwa kitambulisho ni chako na si cha Watu kwa hiyo tujihadhari usimsajilie Mkeo wale Mumeo kufanya hivyo ni kosa"-James Kilaba, Mkurugenzi Mkuu TCRA
 
Back
Top Bottom