Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mafuta mazuri kwa ajili ya Lips
Wasichana na wamama wengi ni watumiaji wa bidhaa nyingi za lipstiki zenye kemikali kwa ajili tu ya kulainisha midomo yao ya nje (lips). Kile wengi hawajuwi ni kuwa bidhaa hizi si salama sana kwa afya zao.
Bahati nzuri kwa wewe unayesoma makala hii mafuta ya nazi yanaweza kutumika kama lipstiki yako ya asili isiyo na madhara mabaya hapo baadaye.
Kwahiyo kama una tatizo la midomo kukauka basi uwe unapakaa mafuta ya asili ya nazi kila mara..
Numbisa nakuachia balaa lako..
huyo moudgulf ameshatoka usingizini
utachezea kipigo cha picha mpaka utosheke
Safi parachuti nayo yapo vizuri. Ya nazi pure ni bei kidogo ila mazuriWaow[emoji7][emoji7][emoji7]
Nmejifunza mengi
Ila Mimi ninayo ya parachute..Sina Nazi ile pure
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa natumia Nazi pekeeHufukuza wadudu mbali
Yanaweza kutumika kama dawa ya asili ya kufukuza wadudu (insect repellent) wakiwemo mbu. Unachohitaji ni kuchanganya pamoja na kiasi kidogo cha mafuta ya karafuu au ya mnanaa (mint) na ujipake juu ya ngozi yako na hakuna mdudu yoyote akiwemo mbu atakayekusogelea.
Pakaa mchanganyiko huu mara kadhaa katika siku kwa matokeo mazuri zaidi.
Numbisa nakuachia balaa lako..
huyo moudgulf ameshatoka usingizini
utachezea kipigo cha picha mpaka utosheke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naenda kulala mie
Woyooo[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Uko wapi tukale bata za ushindi
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hutumika kulainisha uke mkavu
Mafuta ya nazi yana matumizi mengi sana mwilini zaidi ya 100, kuna wanawake wana tatizo la kuwa na uke mkavu muda wote hata wakisisimuliwa vipi bado huwa wakavu.
Kuondokana na tatizo hilo pakaa mafuta ya nazi katika uke wako na utaona faida yake nyingine ikiwemo ya kutibu, fangasi na bakteria tena bila madhara yeyote mabaya.