Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Embu acheni kuchanganya ushindi wa livapuu na vikundi vya ajabu vya ngoma asilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] kwa hiyo unaikana yanga
Hivi kwani tangu lini nashabikia rede Mimi?Yanga ilipofungwa mfululizo ulimuona hapa?
Amerudi kwa ushinda wa Liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
Depal Chelsea orijinoMi nakujua wewe,
Ni livapuu wa kutupwa ila ulikuwa unajifanya Manchester [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona moud anatafuta kupondwa kwa Hali na MaliNapenda mnavyo changanyana hapa
Naona moud anatafuta kupondwa kwa Hali na Mali
Na likikundi lake la ngoma za utamaduni,yanamlazimisha mo aendelee kuyadhamini
Sent using Jamii Forums mobile app