Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe kura yangu haitakiwi, sawa nitaipeleka mahali pengine.
Maana zoezi la kupata kitambulisho limekula muda wangu mwingi bila sababu yoyote
“Yaani kusajili laini yako hadi tukuitie wanamuziki, hii ni aibu haya mambo yanahusu usalama wako na Taifa. Tatizo lenu mnataka maneno matamu sasa sina muda huo maana sitafuti kura kwako.”

Alisikika bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…