Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ikiwa unapotea kwa mambo ya kheri ni jambo la kushukuru

Mwenyezi Mungu akusimamie kwenye mambo yako bro.
Vinginevyo juzi hapa tulifiwa na kijana wetu mmoja, tumezika Ijumaa, tuliobakia tuko salama tunashukuru bro
Nipo salama bro vipi habari yako na ndugu walio kuzunguka?

Nikweli uwepo wangu umekua wa kusua sana ila napotea kwa mambo ya kheri kabisa ndugu usiwe na shaka
 
Ikiwa unapotea kwa mambo ya kheri ni jambo la kushukuru

Mwenyezi Mungu akusimamie kwenye mambo yako bro.
Vinginevyo juzi hapa tulifiwa na kijana wetu mmoja, tumezika Ijumaa, tuliobakia tuko salama tunashukuru bro
Ameen bro....

Mungu azidi kuwapa uimara watu wote mliobaki hapo pia poleni sana kwa msiba wa ndugu yetu........ Innah lillah wainnah lillah rajiun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…