Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 777
- 2,273
Ameen bro....
Mungu azidi kuwapa uimara watu wote mliobaki hapo pia poleni sana kwa msiba wa ndugu yetu........ Innah lillah wainnah lillah rajiun
Ninavyopenda kudekezwa sasa ata sikawii kufikaMie pia kipenzi, haya njoo udeke[emoji8]
Tupo pamoja kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninavyopenda kudekezwa sasa ata sikawii kufika
Ujumbe fikirishi sana huu EstaTafakari Kabla ya kuweka malengo yako juu ya mtu. Kumbuka malengo yake yakitimia kabla ya malengo yako hautakuwa salama.View attachment 1328811
Ujumbe fikirishi sana huu Esta
π€π€π₯°Ninavyopenda kudekezwa sasa ata sikawii kufika
Naimani utajazia nyama, andaeitini mimi nije kujifunza vya wahengaπNgoja nikauanzishie uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo hivyo watajazia wahenga humoNaimani utajazia nyama, andaeitini mimi nije kujifunza vya wahengaπ
Hahah! Jamani kumbe umeona?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#lastBornBana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]macho hayana paziaHahah! Jamani kumbe umeona?
Hujambo lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]macho hayana pazia
Nakuchamba ndiyo kwa sababu una tabia mbaya.Mmhhh, mbona unanichamba!![emoji849]
Wakati ule si wakati huu, hapa tutaongea nini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app