Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

24hrs nipo hewani na Sina mpango wa kwenda huko nida,liwalo na liwe

Nida wajinga Sana.
Kiujumla hii nchi Ina viongozi wapumbavu.
Akili zao sometimes sijui huwa wanaziweka wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aiseee Mkuu pole sana kweli wamekukera sana, kwanini sasa haujasajili kwa alama ya vidole
 
Nchi ya kipumbavu Sana hii.
Kitambulisho Cha taifa kinahusianaje na namba za simu?
Huu Kama Sio upumbavu Ni Nini!?

Sasa brother nisajili ili iweje!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Yawezekana hakuna mahusiano ya hivyo vitu viwili lakini kwakuwa ni utaratibu tuliojiwekea si vibaya tukiufata utaratibu huo na kutii sheria bila Shuruti

Mtakatifu Anne
 
Daktari wa Zahanati ya Lugunga Mkoani Geita Emmanuel Mpanduhi amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bukombe kwa tuhuma za kumchoma sindano nne mjamzito mwenye umri wa miaka 20 na kisha kumbaka.
•
Daktari huyo anadaiwa kumbaka mjamzito January 15,2020 saa saba mchana, baada ya mjamzito huyo kumueleza kuwa mimba yake ina miezi minne na ipo hatarini kutoka hivyo anaomba tiba ya kuzuia isitoke, akamchoma sindano na kumuingilia.
•
“Alimchoma sindano mbili mjamzito huyo, akamwambia aliyemsindikiza asubiri nje, akabaki na mjamzito chumbani akamchoma mbili nyingine kisha kumbaka,alipozinduka akajikuta amechafuka sehemu za siri na nguo ya ndani iko pembeni”-Orginess Digina, Mwendesha Mashtaka wa Polisi
 
.Carlo Ancelotti ndiye anayeshika namba mbili kwa matumizi makubwa ya pesa kwenye usajili, akifanya hivyo kwenye klabu za AC Milan, Chelsea, Paris Saint-Germain, Real Madrid na Bayern Munich, lakini bado yupo nyuma kwa Pauni 300 milioni alizotumia Mourinho.
 
Back
Top Bottom