Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nchi ya kipumbavu Sana hii.
Kitambulisho Cha taifa kinahusianaje na namba za simu?
Huu Kama Sio upumbavu Ni Nini!?

Sasa brother nisajili ili iweje!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Saiv huduma muhimu utapata kwa kutumia hicho kitambulisho mfano kuombea passport, kufungulia account bank,kumdhamini mtu hasa mahakamani,wakati wa kusafiri hasa kwa ndege muhimu kuwa nacho sema kwa sasa wanatangaza tu kuhusu kusajilia line
 
Sawa kina umuhimu,lakini kina uhusiano gani na line za simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kina umuhimu,lakini kina uhusiano gani na line za simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa unasajili pale nida unaweka fingerprints hivyo ukija nacho kwa wakala either kitambulisho au namba utaweza kusajili pale fingerprints za nida zikakubaliana na hizo unazoweka kwa wakala,hivyo inakua virahisi kutambua wewe ni mmiliki halali wa line hio.

Pia mbelen mfumo wa polisi utabadilika ikitokea ujambaz wataanza kwanza kuoanisha fingerprints zilizopo nida kumsaka mhusika.
 
Kwanini waweke miundombinu mibovu na kutishia watu kufungiwa laini na Hali wanajua utekelezaji wao Ni mbovu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini waweke miundombinu mibovu na kutishia watu kufungiwa laini na Hali wanajua utekelezaji wao Ni mbovu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lawama ziwe pote. Kipindi wanaandikisha mitaani wananchi hawakujitokeza vya kutosha hivyo wakaona watoe sababu moja kubwa ili watu wapate muamko wa kwenda kujisajili. (Hii sababu wengi wanaona vitisho,kwangu sio kitisho ni changamoto ya kuchangamkia mabadiliko ya teknolojia)

Vile vile kipindi wanaandikisha mitaani walikua na vijana wengi(walioajiriwa kwa muda). Nida kuona muamko mdgo wakapunguza wale walioajiriwa kwa muda ndo maana muda huu folen ndefu waajiriwa wachache

Kipindi kile hata mie sikwenda makusudi tu,watu walioenda walijiandikisha fasta tena kwa fomu nzuri. Wanaolalamika kujiandikisha muda kisha wamekosa vitambulisho ni wale ambao hawafahamu ofisi zao za kata zilipo

Kata pamejaa vitambulisho vya nida watu hawajavifata.
 
Back
Top Bottom