Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lawama ziwe pote. Kipindi wanaandikisha mitaani wananchi hawakujitokeza vya kutosha hivyo wakaona watoe sababu moja kubwa ili watu wapate muamko wa kwenda kujisajili. (Hii sababu wengi wanaona vitisho,kwangu sio kitisho ni changamoto ya kuchangamkia mabadiliko ya teknolojia)

Vile vile kipindi wanaandikisha mitaani walikua na vijana wengi(walioajiriwa kwa muda). Nida kuona muamko mdgo wakapunguza wale walioajiriwa kwa muda ndo maana muda huu folen ndefu waajiriwa wachache

Kipindi kile hata mie sikwenda makusudi tu,watu walioenda walijiandikisha fasta tena kwa fomu nzuri. Wanaolalamika kujiandikisha muda kisha wamekosa vitambulisho ni wale ambao hawafahamu ofisi zao za kata zilipo

Kata pamejaa vitambulisho vya nida watu hawajavifata.
Wazime tu hizo line.
Mimi Sina muda wa kurudi Tena nida.
Nimeenda tangu mwezi wa 10 na hawajanipa kitambulisho changu bado halafu wananitishia kuzima..wazime tu.

Mtanipata Huku[emoji116][emoji12]
IMG-20200119-WA0039.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom