Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Wazime tu hizo line.Lawama ziwe pote. Kipindi wanaandikisha mitaani wananchi hawakujitokeza vya kutosha hivyo wakaona watoe sababu moja kubwa ili watu wapate muamko wa kwenda kujisajili. (Hii sababu wengi wanaona vitisho,kwangu sio kitisho ni changamoto ya kuchangamkia mabadiliko ya teknolojia)
Vile vile kipindi wanaandikisha mitaani walikua na vijana wengi(walioajiriwa kwa muda). Nida kuona muamko mdgo wakapunguza wale walioajiriwa kwa muda ndo maana muda huu folen ndefu waajiriwa wachache
Kipindi kile hata mie sikwenda makusudi tu,watu walioenda walijiandikisha fasta tena kwa fomu nzuri. Wanaolalamika kujiandikisha muda kisha wamekosa vitambulisho ni wale ambao hawafahamu ofisi zao za kata zilipo
Kata pamejaa vitambulisho vya nida watu hawajavifata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee
Msalimie ankoo andjulWazime tu hizo line.
Mimi Sina muda wa kurudi Tena nida.
Nimeenda tangu mwezi wa 10 na hawajanipa kitambulisho changu bado halafu wananitishia kuzima..wazime tu.
Mtanipata Huku[emoji116][emoji12]View attachment 1329412
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mwenzangu vunga kama hujaona kitu vileAisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazime tu hizo line.
Mimi Sina muda wa kurudi Tena nida.
Nimeenda tangu mwezi wa 10 na hawajanipa kitambulisho changu bado halafu wananitishia kuzima..wazime tu.
Mtanipata Huku[emoji116][emoji12]View attachment 1329412
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah [emoji23][emoji23]Naona Mzee unajimbwafai siyo
Haya sawa[emoji2]
NdiyoSanduku la posta ndiyo lenyewe hili
Dah [emoji23][emoji23]