ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Niko hapa uelekeo wa igawilo.Lakini nasikia Uyole kubwa
π π π πWazime tu hizo line.
Mimi Sina muda wa kurudi Tena nida.
Nimeenda tangu mwezi wa 10 na hawajanipa kitambulisho changu bado halafu wananitishia kuzima..wazime tu.
Mtanipata Huku[emoji116][emoji12]View attachment 1329412
Sent using Jamii Forums mobile app
Safiii
Hahaha aiseeUzuri watu wa Data Taarifa hizi wanazitunza vizuri sana